
106 views
Kwanini sayari ya zebaki ina barafu ilhali ipo karibu na jua?
Baada ya safari ya miaka nane kupitia sehemu ya ndani ya mfumo wa Jua, chombo cha angani kinachoitwa BepiColombo kiliwasili na kufanikiwa kuingia katika obiti ya sayari ya Zebaki (Mercury). Chombo hicho kinalenga kuchunguza siri za sayari hiyo, ambayo ni miongoni mwa sayari ambazo bado hazijaeleweka vizuri na wanasayansi, ikiwemo jinsi inavyowezekana kuwa na barafu licha ya kuwa karibu sana na Jua. #bbcswahili #zebaki #angazajuu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mradi wa Elon Musk wa satelaiti milioni moja: Unahusu nini?
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Uislamu wazidi kukua kwa kasi dhidi ya ukristo
- Tazama lori likipoteza mwelekeo
- Mwanaume na mbwa wake wasombwa na mawimbi makali ya bahari
- Viongozi waliobadili katiba kubaki madarakani.
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 27' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV