
4,797 views
Tazama lori likipoteza mwelekeo
Lori lililokuwa limebeba barua na vifurushi lilipoteza mwelekeo kutokana na hali mbaya ya hewa na kuishia kukwama katikati ya njia mbili za daraja mjini Toledo, Ohio, Marekani. Hakuna aliyejeruhiwa na mamlaka zilifanikiwa kulirejesha barabarani. #bbcswahili #lori #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Kwanini sayari ya zebaki ina barafu ilhali ipo karibu na jua?
- Mradi wa Elon Musk wa satelaiti milioni moja: Unahusu nini?
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Uislamu wazidi kukua kwa kasi dhidi ya ukristo
- Mwanaume na mbwa wake wasombwa na mawimbi makali ya bahari
- Viongozi waliobadili katiba kubaki madarakani.
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 27' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV