
5,054 views
Viongozi waliobadili katiba kubaki madarakani.
Baadhi ya viongozi wa Afrika walibadili katiba za nchi zao ili kuondoa ukomo wa mihula ya urais au kuanza upya hesabu ya muda wao wa uongozi na hivyo kupata nafasi ya kuendelea kushikilia madaraka. Mjadala huo umeibuka tena nchini DRC baada ya Rais Felix Tshisekedi kusaini sheria ya kura ya maoni kuhusu masuala ya kikatiba. Hatua hiyo imezua hofu ya uwezekano wa mabadiliko yatakayomruhusu kugombea muhula wa tatu. #bbcswahili #museveni #katiba #kagame #viongoziafrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mwanaume na mbwa wake wasombwa na mawimbi makali ya bahari
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 27' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Watu 31 wafariki baada ya lori la mafuta kupinduka Cairo, Misri
- Seneta ahutubia bunge akiwa na mtoto
- Mwanamke ajitosa ndani ya gari la mgeni kujinusuru na bata mzinga
- Maandalizi kuelekea Afcon 2027 Afrika Mashariki
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 26' 2026