
679 views
Maandalizi kuelekea Afcon 2027 Afrika Mashariki
Tanzania, Kenya na Uganda zinashirikiana kuandaa kwa pamoja michuano ya Dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Nchi hizo tatu zimekuwa zikiwekeza katika ujenzi na ukarabati wa viwanja pamoja na miundombinu mingine kuelekea mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika kati ya Juni na Julai mwaka ujao. Mwandishi wa BBC, Eizabeth Kazibure amefuatilia maendeleo ya maandalizi katika nchi hizo tatu kuelekea kuandaa mashindano hayo. 🎥 Frank Mavura #bbcswahili #AFCON2027 #afrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 26' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 25/ 11 /2026
- Mbunge kutoka Kenya akana kuiba simu bungeni.
- China yafanikiwa kurusha roketi angani.
- Matukio ya Papa Francis akidai kumuona shetani.
- Tanzania inataka Katiba mpya au marekebisho?
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 25' 2026