
370 views
China yafanikiwa kurusha roketi angani.
China imefanikiwa kurusha chombo cha anga za juu cha Shenzhou-24 siku ya Jumatano, kikiwa na wanaanga watatu kuelekea katika kituo chake cha anga za juu cha Tiangong. Uzinduzi huo umeweka historia baada ya mwanaanga wa Pakistan, Muhammad Zeeshan Ali, kuwa raia wa kwanza wa kigeni kufika katika kituo hicho cha anga za juu. Safari hiyo inatarajiwa kuchukua siku kadhaa kabla ya mwanaanga huyo kurejea duniani. #bbcswahili #roketi #anga #china Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matukio ya Papa Francis akidai kumuona shetani.
- Tanzania inataka Katiba mpya au marekebisho?
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 25' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 24/ 11 /2026
- Nini kilitokea katika fainali ya AFCON 2025?
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 24/ 11 /2026
- Uebert Angel afikishwa mahakamani