
16,827 views
Nini kilitokea katika fainali ya AFCON 2025?
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote, Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imetengua uamuzi wa CAF uliokuwa umeiondolea Senegal ubingwa wa AFCON 2025. - Uamuzi huo unathibitisha matokeo ya awali ya fainali dhidi ya Morocco ambayo Senegal ilishinda kwa bao 1-0 na hivyo kuirejeshea rasmi taji hilo. #bbcswahili #AFCON2025 #Senegal Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 25/ 11 /2026
- Mbunge kutoka Kenya akana kuiba simu bungeni.
- China yafanikiwa kurusha roketi angani.
- Matukio ya Papa Francis akidai kumuona shetani.
- Tanzania inataka Katiba mpya au marekebisho?
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 25' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV