
813 views
Mbunge kutoka Kenya akana kuiba simu bungeni.
Sakata la simu iliyodaiwa kuchukuliwa ndani ya Bunge la Kenya limezua mjadala mpya baada ya Mbunge Mteule wa Jubilee, Sabina Chege, kujitokeza na kueleza kwa kina jinsi simu yake ilivyopotea wakati wa vurugu ndani ya Bunge Juni 8, 2023. #bbcswahili #kenya #mbunge #wizi #bunge Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 25/ 11 /2026
- China yafanikiwa kurusha roketi angani.
- Matukio ya Papa Francis akidai kumuona shetani.
- Tanzania inataka Katiba mpya au marekebisho?
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 25' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 24/ 11 /2026