
672 views
Tanzania inataka Katiba mpya au marekebisho?
Tanzania inatarajia kuwa na Katiba mpya au iliyofanyiwa marekebisho ifikapo 2028 au 2029, kwa mujibu wa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan. Lakini je, mchakato huu utaendeleza Rasimu ya Warioba, kuanza upya au kufuata njia nyingine? @mrs.tadicha anaelezea zaidi #bbcswahili #tanzania #katibampya🇹🇿 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 25' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 24/ 11 /2026
- Nini kilitokea katika fainali ya AFCON 2025?
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 24/ 11 /2026
- Uebert Angel afikishwa mahakamani
- Wezi wavunja makontena ya treni zinazotembea na kupora mizigo
- Uislamu kuupiku Ukristo na kuwa dini yenye waumini wengi 2035