
2,645 views
Matukio ya Papa Francis akidai kumuona shetani.
Katika shajara yake binafsi iliyochapishwa hivi karibuni, Papa Francis anaeleza matukio matatu aliyosema alikutana na Shetani. Shajara hiyo iliyochapishwa Novemba 24, 2026 ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja na miezi saba baada ya kifo chake inajumuisha pia tafakari zake kuhusu imani, dhambi, kuzeeka, kifo na changamoto alizokabiliana nazo akiwa kiongozi wa Kanisa Katoliki. #bbcswahili #papafrancis #papafranciskatoliki #romakatoliki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- China yafanikiwa kurusha roketi angani.
- Tanzania inataka Katiba mpya au marekebisho?
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 25' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 24/ 11 /2026
- Nini kilitokea katika fainali ya AFCON 2025?
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 24/ 11 /2026
- Uebert Angel afikishwa mahakamani