
6,868 views
Seneta ahutubia bunge akiwa na mtoto
Mwanasiasa wa Australia, Fatima Payman, alienda bungeni na mtoto wake mdogo aitwaye Aaliyah. Akiwa ndani ya bunge, aliendelea kutoa hotuba kuhusu muswada wa kulinda taarifa binafsi za watu kwenye mifumo ya kidijitali huku akiwa amembeba mtoto wake. Mtoto huyo alisikika akitoa sauti za kitoto na kuwavutia wabunge waliokuwepo #bbswahili #mbunge #australia #upendo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 27' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Watu 31 wafariki baada ya lori la mafuta kupinduka Cairo, Misri
- Mwanamke ajitosa ndani ya gari la mgeni kujinusuru na bata mzinga
- Maandalizi kuelekea Afcon 2027 Afrika Mashariki
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 26' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 25/ 11 /2026