
13,700 views
Uislamu wazidi kukua kwa kasi dhidi ya ukristo
Ni nchi zipi zitakuwa na idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani ifikapo mwaka 2050? Mwandishi wa BBC Asha Juma anaangazia nchi 5 zinazotarajiwa kuwa na Waislamu wengi zaidi, huku idadi ya Waislamu duniani ikiendelea kuongezeka. #BBCSwahili #Uislamu #Dunia #Utafiti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Kwanini sayari ya zebaki ina barafu ilhali ipo karibu na jua?
- Mradi wa Elon Musk wa satelaiti milioni moja: Unahusu nini?
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Tazama lori likipoteza mwelekeo
- Mwanaume na mbwa wake wasombwa na mawimbi makali ya bahari
- Viongozi waliobadili katiba kubaki madarakani.
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 27' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV