
3,439 views
Ukeketaji wavuka mipaka na kutishia juhudi za kutokomeza mila hiyo
Licha ya Kenya kupiga hatua kubwa katika vita dhidi ya ukeketaji kupitia sheria na uhamasishaji wa jamii, itikadi hii haramu inatishia kurejesha hatua hizo nyuma katika mpaka wa Kenya na Ethiopia. Wasichana wanavushwa hadi nchini Ethiopia ambapo wanakeketwa na kisha kurejeshwa nchini, hali inayofichua upungufu katika juhudi za kukomesha desturi hiyo haramu.
- CITIZEN WEEKEND NEWS ~ NOVEMBER 28, 2026
- FKF and footballers’ association sign deal to strengthen player welfare
- Employers begin implementing Breastfeeding Mothers Act
- Church leaders oppose proposed consent rules for livestreaming services
- Sifuna urges opposition to decisively defeat Ruto in 2027 elections
- Mawaidha na bi msafwari: Ni nini unachofanya leo ili siku ukifa mume wako asitafte mke mwingine?
- Harambee Starlets yaanza maandalizi ya mechi za kirafiki dhidi ya Tanzania
- Gachagua asema upinzani utakuwa na mgombea mmoja wa urais 2027