
4,017 views
Shughuli za uokoaji Eastleigh zaingia siku ya saba
Shughuli za uokoaji katika jumba lililoporomoka mtaani eastleigh hapa Nairobi zimeingia siku ya saba leo, huku waokoaji wakifikia vyumba vya mwisho vya chini . Ingawa tangu juzi vifaa vya kielektroniki vilionyesha kuwa wapo watu wawili ambao wangali hai chini ya vifusi, bado hawajafikiwa.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa