
751 views
Taarifa ya marekebisho na kuomba radhi
Katika taarifa zetu za jana, tulitaja kimakosa kijiji ambako polisi katika eneo la Isinya, kaunti ya Kajiado, walifukua mwili wa mwanamke anayedaiwa kuuawa na kuzikwa nyumbani kwake. Tukio hilo lilifanyika katika kijiji cha Sholinge na wala si Entarakuet. Tunaomba radhi kwa mkanganyiko huo na kwa mmiliki wa mkahawa wa Entarakuet. Tunafafanua kuwa tukio hilo halikufanyika katika mkahawa huo wala maeneo ya karibu nao.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa