
11,191 views
Gachagua atabiri Ichung’wah kutimuliwa serikalini
Kinara wa DCP Rigathi Gachagua sasa anasema ni muda tu kabla ya Kiongozi wa Wengi Bungeni Kimani Ichung’wah kutemwa serikalini, kwa kushindwa kugawa kura za eneo la Kati. Gachagua sasa akidai kuwa Ichung’wah alipewa jukumu hilo na Rais William Ruto. Akizungumza kanisani eneo bunge la Kikuyu, Gachagua amemzomea Ichung’wah, huku pia akiwaonya wandani wa Rais dhidi ya kumtongoza kisiasa Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa