
980 views
Eastleigh: Watu 11 bado hawajapatikana siku ya 10 ya uokoaji
Shughuli ya kufukua vifusi mtaani Eastleigh imepangiwa kukamilika leo huku bado watu 11 wakikosa kufikia kwenye zoezi hili lililoendelea kwa siku ya 10 hii leo. Jamaa za waathiriwa wakisalia na matumaini kuwa jamaa zao watapatikana. Na kama Gatete Njoroge anavyoarifu, vifaa zaidi vya kukamilisha shughuli hii vililetewa kwenye juhudi hizi za lala salama zinazoendelea kwa sasa.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo