Hospitali ya Mater kuandaa mbio tarehe 25 mwezi ujao

  • | Citizen TV
    68 views

    Hospitali ya Mater kupitia mpango wa matibabu ya magonjwa ya moyo kwa watoto imewaomba wakenya kujitokeza katika mbio za kuchangisha pesa zitakazofanyika tarehe 25 mwezi ujao.