Wakazi wa Bonjoge, Koitabut na Kereri waweka mikakati

  • | Citizen TV
    112 views

    Baada ya kutengwa kimaendeleo kwa muda mrefu ,wanavijiji wa bonjoge,Koitabut na Kereri huko Aldai kaunti ya Nandi walibuni mchakato wa kujiinua kimaisha. Wakazi hao walianzisha mpango wa kununua mifugo na kugawana ili kila mmoja wao aweze kuwa na mtaji wa kujichumia riziki.