Wanawake wa Thailand wavunja miiko kwa kuchora tatoo za Yantra

  • | BBC Swahili
    1,011 views
    Kuchora tatoo za Yantra ni suala la utamaduni huko Thailand, ambao unaaminika kuwapa "nguvu za ajabu" za ulinzi na bahati nzuri. Tatoo za mwili mzima zilikuwa ni mwiko kwa wanawake nchini, lakini Jeeranun na Pimnipa wanapinga na dhana hizo. #bbcswahili #thailand #sanaa #michoroyamwilini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw