- 2,009 viewsDuration: 3:23Familia zilizotoroka mapigano maeneo ya Angata Barrikoi huko Transmara zinahangaikia kambini huku hali ya taharuki ikiendelea. Familia hizo zitasherehekea sikukuu ya krismasi zikiwa kambini tena chini ya kafyu. Na kama anavyoarifu Chrispine Otieno, familia hizo 2,500 zinahofia kusahaulika huku shirika la Msalaba mwekundu likianza kuwapa msaada wa chakula na bidhaa zingine.