Skip to main content
Skip to main content

Msongamano wa wasafiri waendelea Nairobi huku umati wa watu unaelekea vijijini kwa sikukuu

  • | Citizen TV
    8,108 views
    Duration: 2:45
    Hekaheka za kusafiri mkesha wa krismasi zimeshuhudiwa Jijini Nairobi huku umati wa watu wakikosa usafiri wa kuelekea vijijini kwa sikukuu. Na kama anavyoarifu Willy Lusige, wakenya wengi wameambulia kusalia jijini wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na hali mbaya ya uchumi.