- 863 viewsDuration: 3:29Mamia ya watu waliohama kwao kufuatia maporomoko ya ardhi katika eneo la Chesongoch Kaunti ya Elgeyo Marakwet yaliyotokea mwezi Oktoba hawana la kusherehekea Krismasi hii. Familia hizo ambazo nyumba zao ziliharibiwa na matope zinahuzunika kwa kukosa chakula na makazi.