Skip to main content
Skip to main content

Heri njema ya Krismasi: Viongozi wa dini wahimiza kuvumiliana

  • | Citizen TV
    270 views
    Duration: 2:44
    Viongozi wa kidini wametoa wito wa umoja na kuvumiliana miongoni mwa wakenya sasa ambapo kijoto cha siasa kinazidi kupanda. Askofu mkuu Anthony Muheria amewataka wanasiasa kutumia nguvu zao kutatua changamoto wanazokabiliana nazo wakenya hasa hali ngumu ya uchumi badala ya kuendelea ubishi wa kupimana nguvu. Laura Otieno akikita alihudhuria ibada za krismasi makanisani na anatupasha zaidi kuhusu jumbe za viongozi wa kidini.