Skip to main content
Skip to main content

Tamasha ya utamaduni wa Mijikenda kuandaliwa Kilifi

  • | Citizen TV
    604 views
    Duration: 2:07
    Katibu katika idara ya vijana fikirini Jacobs amesema serikali itaandaa sherehe kubwa ya utamaduni kwa Mara ya kwanza eneo la Kilifi Kaskazini kama njia ya kuwapa wasanii Nafasi ya kujiendeleza. Akiongea na wanahabari kwa ajili ya matayarisho ya hafla ya utamaduni ya jamii za mijikenda, katibu huyo amewataka wasanii ukanda huo wa Pwani kujitokeza na kuonyesha talanta zao huku akiwahimiza kujenga Uchumi wao kupitia muziki na talanta zingine.