- 3,296 viewsDuration: 2:57Limetajwa kuwa bwawa kubwa zaidi barani Africa, lenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati elfu sita za umeme. Ni Bwawa la "Ethiopian Grand renaissance dam" lililojengwa kwenye mto wa Blue Nile nchini Ethiopia. Bwawa hilo limeleta matumaini kwa nchi hiyo sio tu kujitosheleza kwa umeme bali pia kwa wananchi wake kutumia kawi. Bonface Barasa alizuru bwawa hilo na kuandalia taarifa ifuatayo.