- 328 viewsDuration: 2:10Kiangazi kikali kinaendelea kushuhudiwa kaunti ya Turkana huku watoto chini ya umri wa miaka mitano wakiwa katika hali ya hatari ya kukumbwa na utapiamlo kutokana na ukosefu wa chakula. Wafugaji pia wameanza kuhamia nchi jirani ya Uganda kuwatafutia mifugo wao maji na nyasi.