2 Jan 2026 4:29 pm | Citizen TV 528 views Duration: 1:18 Wakaazi wa eneo la Dundori eneo bunge la Bahati kaunti ya Nakuru wameshiriki maandamano kwa kufunga barabara ya kutoka Nakuru kuelekea OlKalou usiku wa kuamkia leo kutokana kuongezeka kwa visa vya utovu wa usalama.