- 5,239 viewsDuration: 2:20Wizara ya elimu imetoa muongozo mpya wa ada za shule, ikiwahakikishia wazazi kuwa hakuna nyongeza yoyote ya karo. Kulingana na muongozo huo, shule za upili za kutwa zitaendelea kugharamiwa na serikali huku wizara ikiwatahadharisha walimu wakuu dhidi ya kuwatoza wazazi karo zaidi. Serikali pia ikitangaza kutoa shilingi bilioni 44 za mgao wa shule