2 Jan 2026 7:24 pm | Citizen TV 9,236 views Duration: 51s Mwanamke wa miaka 34 anaendelea kutibiwa katika hospitali ya rufaa ya Nakuru baada ya kupigwa risasi na afisa wa polisi eneo la Tangi Tano, usiku wa kuamkia leo