- 1,487 viewsDuration: 2:40Oparesheni ya madereva wanaokiuka sheria za barabarani imeendelea mwaka mpya huku maafisa wa halmashauri ya NTSA na wale wa trafiki wakiendesha zoezi hilo katika kaunti nane. Jijini Nairobi, magari 17 yalizuiliwa baada ya kupatikana na makosa mbali mbali.