2 Jan 2026 7:43 pm | Citizen TV 296 views Duration: 1:02 Kocha mkuu wa Nairobi United Nicholas Muyoti ameeleza kuwa kikosi chake kiko tayari kwa mechi yao ya ufunguzi wa mwaka 2026 ugenini dhidi ya Shabana Fc uwanjani Gusii jumapili.