Skip to main content
Skip to main content

Watu 8 wafariki kufuatia ajali ya barabarani katumani

  • | Citizen TV
    6,713 views
    Duration: 3:35
    Idadi ya waliokufa katika ajali ya barabarani katika eneo la Katumani kwenye barabara kuu ya Nairobi kuelekea Mombasa imefikia nane. Hii ni baada ya watu wengine wawili kufariki wakitibiwa katika hospitali ya Machakos Level 5. Ajali hiyo ya ijumaa usiku ilihusisha basi la abiria lililokuwa likitoka Mombasa lililogongana na matatu iliyokuwa ikisafirisha abiria kutoka jijini Nairobi kuelekea Pwani