Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Mbeere Kusini wapata faraja kupitia mradi wa maji

  • | NTV Video
    287 views
    Duration: 3:03
    Kwa miaka mingi, wakazi wa Mbeere Kusini wameishi na hofu na mateso makubwa wakisaka maji, safari ndefu zilizojaa hatari ya mashambulizi ya mamba na viboko kutoka bwawa la Kamburu. Lakini baada ya dhiki imewajia faraja wakazi hawa kupitia kwa mradi wa maji ambao unadhamiriwa kukomesha janga la maji pamoja na migogoro ya binadamu na wanyamapori. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya