Skip to main content
Skip to main content

“Sihitaji kupatana na familia yangu.”

  • | BBC Swahili
    16,873 views
    Duration: 2:35
    Mtoto wa Mchezaji nguli wa zamani wa Uingereza David Beckham, Brooklyn Beckham amewashutumu wazazi wake kwa kujaribu kuharibu uhusiano wake, kabla na baada ya harusi yake na Nicola Peltz-Beckham. Hii ni mara ya kwanza kwa Brooklyn kuzungumzia kwa kina uhusiano wake na familia yake kwa sasa Je kwa nini ameamua kuweka wazi suala hili? @ahmedbahajjofficial anaelezea 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #uingereza ##BrooklynBeckham Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw