Skip to main content
Skip to main content

Donald Trump ahitimisha mwaka mmoja madarakani, amejivunia nini katika utawala wake? Katika Dira TV

  • | BBC Swahili
    16,126 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Marekani Donald Trump hii leo amehitimisha mwaka mmoja madarakani. Suala moja ambalo limesheheni mjadala duniani kote leo ni umiliki wa kisiwa cha Greenland. Trump aliweka wazi ujumbe wa faragha kutoka kwa Emmanuel Macron ambapo kiongozi huyo wa Ufaransa anamueleza Trump kwamba haelewi mpango wake kuhusu Greenland. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw