- 298 viewsDuration: 2:44Wakazi wa kijiji cha Kapkembu kaunti ya Nakuru wanaitaka mamlaka ya KERRA kujenga barabara ya Kapkembu kuelekea Mwangate ambayo imekuwa katika hali mbaya kwa zaidi ya miaka mitano. Hali hii imesababisha kufungwa kwa kiwanda cha chai huku mazao ya shamba pia yakikosa soko