Skip to main content
Skip to main content

Wasichana U20 wa Kenya waibuka na ushindi 1-0 dhidi ya Tanzania

  • | Citizen TV
    324 views
    Duration: 44s
    Timu ya taifa ya soka ya wasichana chini ya miaka 20 imeilaza Tanzania bao moja kwa nunge kwenye mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia.