- 28,014 viewsDuration: 2:10Baraza la Wataalamu la Iran limemchagua Mojtaba Khamenei kuchukua nafasi ya baba yake, Ayatollah Ali Khamenei, kama kiongozi mkuu mpya wa nchi hiyo, vyombo vya habari vya serikali vinaripoti. - - #bbcswahili #iran #uongozi #khamenei Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw