Skip to main content
Skip to main content

Watanzania 236 waliokuwa Dubai warejea nyumbani

  • | BBC Swahili
    30,531 views
    Duration: 1:32
    Watanzania 236 mchana wa hii leo wamerejea nyumbani baada ya kukwama Dubai kwa muda kutokana na vita vinavyondelea kati ya Marekani Israel na Iran. Mwandishi wa BBC @eagansalla ameaandaa taarifa hii #bbcswahilii #tanzania #Dubai Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw