Skip to main content
Skip to main content

Vijana washauriwa kutumia vipaji kujiendeleza maishani

  • | Citizen TV
    316 views
    Duration: 3:03
    Katibu wa turathi na utamaduni nchini Ummi Bashir, ametoa changamoto Kwa vijana wenye vipaji vya uimbaji kuvitumia kupata riziki badala ya kulalamikia ukosefu wa ajira nchini. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.