Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi walalamikia uharibifu unaofanywa na ndovu

  • | Citizen TV
    647 views
    Duration: 3:06
    Ndovu ni baadhi ya wanyama wa kifahari nchini wanaovutia watalii...lakini taswira ni tofauti kwa wakazi wanaoishi karibu na mbuga za wanyamapori haswa ndovu. Wanyama hawa amekuwa tishio kubwa kwa maisha na mashamba ya wakazi wa Kajiado ambako sasa mfumo mpya wa matumizi ya droni kuwafukuza ndovu bila kuwadhuru imeanza kutumia.