1 Sep 2025 10:50 am | Citizen TV 1,860 views Duration: 2:09 Wamiliki na madereva wa kampuni ya X Move Mombasa wametangaza kusitisha huduma za usafiri kufuatia vitisho vya usalama kutoka kwa baadhi ya madereva wa matatu katika eneo la bamburi mwisho.