- 627 viewsDuration: 1:17Baadhi ya viongozi wa kidini kutoka bonde la ufa kaskazini wameendelea kulaanı visa vya ufisadi vinavyoshuhudiwa humu nchini huku wakitoa wito kwa kila moja kuunga mkono vita dhidi ya uhalifu huo.. Viongozi hao walikuwa wakizungumza mjini Kapsabet baada ya kuongoza misa ya kwanza ya dayosisi ya kanisa katoliki ya Kapsabet.