Skip to main content
Skip to main content

Walimu, wanafunzi na wakulima wapewa mafunzo maalum kuhusu mboga za kienyeji Kisii

  • | Citizen TV
    220 views
    Duration: 2:49
    Mpango wa kuanzisha matumizi ya vyakula vya kiasili katika shule zote nchini tayari imeng'oa nanga katika kaunti 5 nchini. Mpango huo unafuatia mafunzo kabambe ambayo yametolewa na maafisa wakuu wa makavazi ya kitaifa kwa wakulima , walimu wakuu na jamii kwa ujumla. CHRISPINE OTIENO na mengi zaidi