- 8,834 viewsDuration: 2:45Waziri wa Afya Aden Duale leo amemkabidhi mkurugenzi mkuu wa idara ya DCI Mohammed Amin zaidi ya faili elfu moja kwa uchunguzi kuhusiana na ulaghai wa bima ya afya ya SHA. Duale akitangaza kufungwa kwa hospitali 85 zinazochunguzwa kwa tuhuma hizi amesema uchunguzi huu utafichua ulaghai kwenye malipo ya bima hii ya afya.