- 6,912 viewsDuration: 2:59Gavana wa Bomet Hillary Barchok na Gavana wa zamani wa Bungoma Wycliffe Wangamati watalala seli usiku wa leo baada ya kuzuiliwa kwa tuhuma za ufisadi. Wawili hawa na washukiwa wengine 11 wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kesho kujibu mashtaka hayo ya ufisadi