Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Umande, Laikipia, wanadai hakuna uwazi wa kulipa fidia

  • | Citizen TV
    901 views
    Duration: 3:07
    Wakazi wa wadi ya Umande katika kaunti ya Laikipia wameitaka serikali kuhakikisha wamelipwa fidia ya kima cha shilingi Milioni 500 kutoka kwa serikali ya uingereza kugharamia hasara ya moto mkubwa ulioteketeza zaidi ya ekari elfu saba za mbuga ya Lolldaiga mwaka 2021. Hata hivyo, baada ya serikali ya uingereza kutoa pesa hizo kama fidia wiki iliyopita, malalamishi mapya yameibuka huku baadhi ya wakazi wakidai kuwa mchakato wa kulipa fidia haukuwa wa haki.