2 Sep 2025 1:37 pm | Citizen TV 357 views Duration: 3:17 Wakulima katika eneo la Magharibi wamehimizwa kukumbatia ufugaji wa nguruwe kama njia mbadala ya kujipatia mapato, ikizingatiwa kuwa nguruwe wana faida kubwa wakilinganishwa na wanyama wengine wa nyumbani.