Skip to main content
Skip to main content

UHC: Serikali yaahirisha uhamisho wa wafanyikazi 7,400 hadi mwaka ujao

  • | Citizen TV
    412 views
    Duration: 1:35
    Serikali imeahirisha mpango wa kuwahamisha zaidi ya wafanyakazi 7,400 wa Huduma za Afya kwa Wote (UHC) hadi mwaka ujao. Wizara ya afya itaendelea kuwalipa mishahara wahudumu hao katika muda huo ambapo watakuwa kwenye mpango wa ajira ya kudumu na yenye pensheni hadi Juni mwaka ujao. Haya ayameafikiwa baada ya mazungumzo ya kina kati ya waziri wa afya Aden Duale na Baraza la Magavana.