- 2,215 viewsDuration: 3:24Shule za sekondari nchini zinakabiliwa na hatari ya kufungwa baada ya serikali kuchelewesha fedha za kuendesha shughuli za masomo kwa mihula miwili sasa. Wakuu wa shule sasa wanahofia kuwa huenda wakalazimika kuwarejesha wanafunzi nyumbani iwapo serikali haitasambaza pesa hizo haraka iwezekanavyo. Baadhi ya shule zinapata changamoto za kuendesha shughuli zao na kulipa madeni kw awasambazaji bidhaa. Ben kirui ana maelezo zaidi.